Social Icons

twitterfacebookgoogle pluslinkedinrss feedemail

Pages

Featured Posts

Ulimwengu wa Dini

Pata habari za Dini za Kitaifa na Kimataifa duniani kote kwa kupitia tovuti yetu.
TANGAZA BIASHARA YAKO NA Ulimwengu wa Dini

Sunday, June 30, 2013

Heshima ya mwanadamu katika utawala wa Imam Mahdi AS

Assalaamu Alaykum wapenzi wasikilizaji Warahmatullahi Wabarakatuh. Siku ya leo inasadifiana na siku aliyozaliwa mwokozi aliyeahidiwa, mtukufu Hujjatu Ibn al Hassan al Mahdi, Imamu wa Zama (Mwenyezi Mungu aharakishe kudhihiri kwake). Mtukufu huyo alizaliwa mwezi 15 Shaaban mwaka 255 Hijria katika mji wa Samarra kaskazini mwa Baghdad ya Iraq ya leo. Jina lake ni sawa na jina la Bwana Mtume SAW. Baba yake ni mtukufu Imam Hassan al Askari (AS) na mama yake ni Bibi mtukufu Nargis. Kwa mujibu wa hadithi mutawatir za Kiislamu na maandiko ya vitabu vitakatifu vya mbinguni, mtukufu Imam Mahdi (AS) atadhihiri katika Akhiruz Zaman na hivyo kuifanya ithibiti ahadi aliyotoa Mwenyezi Mungu.